Leicester iko katika mzunguko wa nne wa Kombe la Carabao na Liverpool imepoteza nafasi kubwa ya nusu ya kwanza
Shinji Okazaki aliiweka Leicester mbele katika uwanja wa nyumbani na kuongeza makali ya eneo hilo katika dakika ya 66
Slimani alifunga goli la pili na kuifaidisha klabu yake kwa upande wa nyumbani
Liverpool iliongoza nusu ya kwanza lakini mara moja Jurgen
Klopp aliwaondoa Philippe Coutinho wakati huo timu yake ilipoteza cheche zake
na kuwaruhusu washambuliaji wa klabu pinzani kuwachachafya mabeki wa Liverpool.
Okazaki Akipiga mpira kwenda kwenye pembe ya Goli na kuiandikia Goli la Kuongoza
No comments:
Post a Comment