1. Idadi ya wapenzi wake wa zamani
Wanaume
wengi hupenda kujua wao ni wangapi kuwa na mwanamke Fulani. Lakini
mwanamke kamwe hawezi akakwambia wewe ni wa ngapi. Kumuuliza jambo hili
kunamkera sana mwanamke na ndio maana mara nyingi hawezi akakwambia
ukweli.
2. Anakulinganisha na mpenzi wa zamani
Mwanamke
mara nyingi anakulinganisha na mpenzi wake wa zamani japokuwa hawezi
kukwambia waziwazi. Wakati mwingine tabia hii huwafanya wanawake
kuwatamani wapenzi wa zamani na hata kurudiana nao endapo watakosa mtu
aliye bora kuliko mpenzi wake wa zamani.
3. Kasoro zako
Mwanamke
kamwe hawezi kukwambia kasoro zako. Wanawake wanajua kumfichiaa mpenzi
wao mambo wasiyotaka yajulikane kwa wengine na kwa mpenzi wake. Wanajua
njia za kiujanja za kutumia ili kufichua siri zako zote. Mwanamke hawezi
kukwambia kasoro zako kwa kuogopa kukuumiza.
4. Mapungufu yake
Mwanamke
hawezi kukwambia mapungufu yake labda kwa kuhofia kusheshwa thamani.
Wanawake ni wasiri sana kwa mapungufu yao. Wanajua vyema hofu
zinazomuandamana, vitu vinavyowakosesha usingizi na mambo yanayowalemea
maishani japo sio rahisi kuonyesha. Kwa nje anaweza akaonekana yuko
vizuri na hana tatizo kumbe ndani ana matatizo au mapungufu. Anaweza
kufanya yote kufunika upungufu wake!
5. Huwa unampagawisha mpaka anakosa la kusema
Hili
halisemi kabisa mwanawake kwa sababu anaona haya kutumia maneno ya wazi
kueleza raha unayompa. Maneno ya kuzuzua ni himaya ya wanaume, lakini
wakati mwingine wapo wasioweza kuficha.
6. Haumridhishi katika tendo la ndoa
Wanawake
wengi hawapendi kusema kama hawaridhiki Kwenye tendo la ndoa. Wanawake
wanahitaji kuandaliwa vilivyo kwa dakika 10, 20 ama nusu saa. Mara
nyingine wanaume huwahi kabla mwanamke hajawa tayari na hivyo kushindwa
kuridhika lakini hawezi kusema.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...

-
Wakati umemualika mwanamke sehemu unayoishi ama wakati umetoka deti katika bar, unapaswa kujua ya kuwa kumsisimua mwanamke huanza kabla ya...
-
Niliwahi kujiuliza kama iko siku na mimi nitapata nafasi ya kusimulia popote pale mkasa uliowahi kunikumba miaka ya nyuma. Ni kuhusu mke wa...
-
Mao alikuwa kiongozi Kichina Kikomunisti na mwanzilishi wa Jamhuri ya Watu wa China. Yeye alikuwa kuwajibika kwa sera za maafa ya ...
No comments:
Post a Comment