Wednesday, 25 October 2017

matokeo ya Carabao Haya Hapa


michezo ilikuwa mikali kwa timu zote kwakuwa walitaka ushindi na timu ndogo zilionekana kucheza kwa umakini zaidi wakitaka kuchukua kombe hili
mchezaji mdogo kabisa wa Arsenal Aliyewatoa kimasomaso kwa kufunga goli dakika za mwisho kabisa(EDDIE NKETIAH)

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...