Sunday, 22 October 2017

matokeo ya ligi kuu hispania

Villareal yapata ushindi dhidi ya wapinzani wake Ud las palmas katika uwanja wao wa nyumbani.
 kelvin gameiro amaifungia timu yake ya Atletico madrid goli la ushindi na lakipekee wakicheza na wapinzani wao Celta virgo

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...