
Hatahivyo ameshikilia nafasi ya 19 pamoja na mwanamuziki mwengine wa kiume katika oroadha ya wanamuziki matajiri nchini Uingereza ambayo imetawaliwa na wanamuziki wa kiume.

Wanafuatwa na West End Mogul Lord Lioyd Webber, U2, Sir Elton John, Sir Mick Jagger na mpiga bendi mwenza wa Rolling stones Keith Richard
Adele anashikilia nafasi ya 19 akiwa na pauni milioni 125 pamoja na mpiga gita wa Queen Brian May.
Kuongezeka kwa utajiri wake kunadaiwa kutokana na ziara 122 za ulimwenguni ambazo zilimpatia kitita cha pauni milioni 138 mbali na ufanisi wake wa albamu yake ya tatu 25 ambayo iliuza kopi 2.4 duniani 2016.
Msanii huyo atahudhuria halfa ya muziki iliouza katika uwanja wa Wembley lakini ametoa ishara kwamba hatofanya ziara nyngine, hatua ambayo huenda ikamzuia kutajirika zaidi.
Wanamuziki tajiri Uingereza | |||
1 | Sir Paul McCartney and Nancy Shevell | £780m | Up £20m |
2 | Lord Lloyd-Webber | £740m | Up £25m |
3 | U2 | £548m | Up £48m |
4 | Sir Elton John | £290m | Up £10m |
5 | Sir Mick Jagger | £250m | Up £15m |
6 | Keith Richards | £235m | Up £15m |
7 | Olivia and Dhani Harrison | £210m | Down £10m |
8 | Michael Flatley | £200m | Up £2m |
9 | Ringo Starr | £200m | No change |
10 | Sting | £185m | No change |
11 | Eric Clapton | £170m | Up £10m |
12 | Sir Rod Stewart | £170m | Up £10m |
13 | Roger Waters | £165m | Up £5m |
14 | Sir Tom Jones | £160m | Up £5m |
15 | Sir Tim Rice | £152m | Up £2m |
16 | Robbie Williams | £150m | Up £5m |
17 | Ozzy and Sharon Osbourne | £140m | Up £5m |
18 | Charlie Watts | £130m | Up £10m |
19 | Adele | £125m | Up £40m |
20 | Brian May | £125m | Up £5m |
No comments:
Post a Comment