Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye sasa anafanya vyema na wimbo wake 'Nakaza roho' amefunguka na kusema kuwa kwa mambo yote ambayo amepitia na yamemtokea yamempa mafunzo makubwa na kusema sasa hatafanya makosa.Ferooz amesema hayo alipokuwa akiongea na mwandishi wa tovuti ya EATV na kudai kuanguka kwake kimaisha kumefanya ajifunze na kujua namna nzuri ya kuishi na watu
Msikilize hapa akifunguka zaidi
No comments:
Post a Comment