Selena amepewa tuzo kama mwanamke bora na Billboard
Nyota huyu aliongea huku akiwa na hisia kazi sana kwa rafiki
yake na msaidizi, mwokozi wake Francia ambapo selena alisema ilitakiwa huyu
mwokozi wake apewe bali sio yeye
Akiwa anabubujikwa machozi mwadada huyu mwenye miaka 25
alisema nafikiri Francia alistahili tuzo ameniokoa maisha yangu
Selena aliwashangaza sana watu pale kwa kuonyesha picha zake
alizozipiga pindi akiwa amewekewa figo kutoka kwa
Kutokana na maelezo ya mwimbaji huyo Francia alijitolea tu
wala hakutaka pesa yoyote wala hakuombwa na mtu yoyote.
No comments:
Post a Comment