Friday, 1 December 2017

Luke Shaw kuihama Klabu ya manchester united

  • Luke Shaw anaonekana kufikia mwisho kwa kuichezea manchester united 
  • Shaw aliwekewa dau la £20 milioni kwa mwezi january 
  • mlinzi huyu wa Upande wa Kushoto Nyuma amepata usumbufu na masaibu akiwa klabuni toka kujiunga kwa kitita cha £31.5 milioni mwaka 2014
  • Anaitajika na klabu ya Newcastle yote hayo bado dau litakuwa kubwa kwa klabu hiyo

  • Luke Shaw wears a snood as he trains in the cold with Manchester United on ThursdayMchezaji luke Shaw akiwa amevalia vazi kwa ajili ya baridi akiwa katika mazoezi uwanjani manchester
    The left back has made just 29 appearances in over three years at Old Trafford
    Ameshiriki mara 29 tu kwenye ligi akianza lakini kwa msimu huu ameonekana mara mbili tena akitokea benchi la akiba kwenye kombe la Carabao , akiwa na jumla ya dakika 47 tu kwa vipindi vyote.
    Kocha wa Newcastle Rafa Benitez –akiwa na tatizo la mlizni wa kushoto atageukia unafuu kwa kuomba mchezaji huyo kwa mkopo kwenye dirisha la usajili

    Shaw, anaonekana na msimamo wa kubaki uingereza na atapenda kuanza katika klabu hyo atakayo ihamia. He has suffered a series of injuries, and there has been doubt cast upon his commitment
    luke shaw ameanza kupata tabu katika kazi yake hii baada ya kuvunjika mguuu kwenye mchezo wao na PSV ligi ya Mabingwa Ulaya. 

    No comments:

    Featured Post

    Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

    Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...