Monday, 6 November 2017

Real Madrid, Psg na Barcelona Kuvaana katika mbio za Kumsaini phillipe Cotinho

Real Madrid have joined Barcelona and PSG in the chase for Liverpool star Philippe Coutinho
real madrid, Psg na barcelona zaingia vitani kuinasa saini ya mchezaji kiungo wa Liverpool na Mchezaji wa timu ya taifa ya Brazili Fellipe Coutinho Jurgen Klopp won't want to lose Coutinho but Liverpool are braced for more £100m+ offers
kocha Klopp hayuko tayari kumpoteza mchezaji huyo lakini klabu ya liverpool imeona ni sawa tu mchezaji huyo kwenda maana itakuwa faida kubwa sana kwakuwa wanatoa kitita cha milioni Mia moja na zaidi
A bidding war between Real, Barca and PSG could drive up the asking price for Coutinho
miamba yote hii mitatu iko mbioni kwa ajili ya kuhakikisha wanatengeneza safu yao ya kiungo kwa kuwa mchezaji huyu anambinu nyingi za kibinafsi.

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...