Manchester United wameshinda kwa goli 3-1 dhidi ya Arsenal jana
jumamosi achiliambali kadi nyekundu aliyopewa
Paul Pogba, lakini Manchester united waliimarika kwa wakati huo mpaka
mwisho wa mchezo
Mfaransa huyu alipewa kadi nyekundu baada ya kumchezea
vibaya Mchezaji wa arsenal bellerin
Pogba hatokuwepo kwenye mchezo wao na mahasimu wake
Mancheter city
Manager Jose Mourinho alisema Pogba alishangazwa na tabia
yake ya kuwa mbishi wakati anaitwa na refa.
pogba akiwa anapewa kadi nyekundu na refa baada ya kumchezea vibaya Bellarin wa Arsenal |
Pogba akiwa katika muonekano wa Faulu wakati akiukimbiza mpira goli la kuongozea likifungwa na Valencia dakika ya nne valencia akiwa katika muonekano wa kufunga |
Lindegard akiifungia Manchester Goli la pili dakika ya 11
No comments:
Post a Comment