Raheem Sterling anatarajiwa kupewa pesa hiyo kama zawadi kwa
jinsi anavyocheza vizuri
Sterling ameonekana kuwa vizuri tangu kujiunga na kocha Pep
Guardiola
City wanaamini wako tayari kuto pesa hiyo kama motisha kwa
mchezaji huyu.
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...
No comments:
Post a Comment