TANZIA - Beki wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Athuman Juma Chama 'Jogoo' amefariki asubuhi ya leo, Jumatatu 8/1/2017 hospitali ya Taifa Muhimbili.source:azamtv
TANZIA - Beki wa zamani wa Yanga na Taifa Stars, Athuman Juma Chama 'Jogoo' amefariki asubuhi ya leo, Jumatatu 8/1/2017 hospitali ya Taifa Muhimbili.Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...
No comments:
Post a Comment