sanchez arudi kwa kishindo kwenye klabu yake aya arsenal
Mechi za moja kwa moja kati ya Manchester City dhidi ya Tottenham huku Arsenal ikikaribishwa nyumbani na Leicester City.
18.50pm:Gooooooooooal Giroud aifungia Arsenal bao la tano hapa na kufanya mambo kuwa 5-2.
18.45pm:Gooooooal Leicester wapata bao la pili hapa kunako dakika ya 45
18.37pm:Gooooooooooal Sanchez afunga bao la nne hapa na kuipatia Arsenal mabao 4-1 dhidi ya Leicester.
18.28pm:Arsenal yazidisha mashambulizi ikitafuta bao la 4
18.26pm:Leicester inajaribu kuona lango la Arsenal lakini bado bahati haijasimama.
18.14pm:Goooooooooal Alexi Sanchez aifungia Arsenal bao la tatu hapa kunako dakika ya 15
Leicester 1 Arsenal 3
18.00pm: Kipindi cha pili cha mechi kinaanza na
KIpindi cha pili
17.43pm:
Tottenham 4 - 1 Man City FT
Leicester 1 - 2 Arsenal
Liverpool 1 - 0 Aston Villa
Man Utd 0 - 0 Sunderland
Southampton 1 - 0 Swansea
Stoke 1 - 0 Bournemouth
West Ham 1 - 1 Norwich
17.33pm:Goooooooooal Sanchez aiweka kifua mbele Arsenal hapa ikiwa ni bao lake la kwanza msimu huu.
17.32pm:Mechi ni ya kasi ya hali ya juu hapa huku kila timu ikajaribu kushambulia lango la mwengine kwa kasi
17.17pm:Goooooooooal Arsenal yasawazisha hapa kupitia Theo Walcot kunako dakika ya 18
Leicester 1 1 Arsenal
17.12pm: Gooooooooooal Leicester yajiweka kifua mbele hapa baada ya shambulizi la haraka katika ngome ya Arsenal
17.03pm:Walcot na mpira la la apiga nje.do.alikuwa amepata pasi safi sana Walcot lakini hamaki yake ikamfanya kuupiga nje.
dakika ya 4'' Leicester 0 0 Arsenal
17.02pm:Utakumbuka kwamba Leicester ni miongoni mwa timu ambazo hazijapoteza katika msimu huu wa ligi ya Uingereza.
17.00pm:Na MECHI kati ya Leicester dhid ya Arsenal yaanza
sancheza akishangilia goli alilofunga kwa timu yake ya arsenal
No comments:
Post a Comment