Saturday, 19 September 2015

leo chelsea na arsenal kitachimbwaaa

Chelsea itacheza na Arsenal mahasimu hawa wa London derby ndani ya Stamford Bridge siku ya jumamosi jioni.chelsea , ambao wanaingia uwanjani wakiwa wakiwa katika timu nne za mwisho kwenye msimamo wa ligi kwa hali yoyote watahitaji ushindi ili kujipa nafasi zaidi ili kulitetea kombe lao. wenger yeye anaingia uwanjani akiwa nafasi ya nne juu dhidi ya chelsea 
wenger aapa kushinda
mornho aapa kushinda 
Chelsea vs Arsenal live score: Follow all the London derby action from Stamford Bridge
  • Chelsea inacheza Arsenal kama mshindani wake ndani aya ligi kuu uingereza
  • Chelsea: Begovic; Ivanovic, Zouma, Cahill, Azpilicueta; Matic, Fabregas; Pedro, Oscar, Hazard; Diego Costa 
  • Substitutes: Blackman, Terry, Mikel, Ramires, Loftus-Cheek, Falcao, Remy
  • Arsenal: Cech; Bellerin, Gabriel, Koscielny, Monreal; Coquelin, Cazorla; Ramsey, Ozil, Sanchez; Walcott 
  • Substitutes: Ospina, Debuchy, Gibbs, Chambers, Arteta, Oxlade-Chamberlain, Giroud

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...