Sunday, 20 September 2015

mawio; wizi wa kura wanaswa soma hapa

katika gazeti bora hapa nchini la leo (mawio) limeonyesha tayari mkakati maalum wa wizi wa kura unaohusisha makepteni. Makepteni hao tayari washapewa mafunzo kwa siku kadhaa na kusambazwa katika majimbo yote 265 ya uchaguzi nchini

katika gazeti hilo limeonyesha orodha ishatolewa na ccm ya vijana watakaopewa kazi maalum katika kila jimbo. Na wote watawajibika makao makuu ya ccm

waraka huo unaonyesha kwamba "makapteni" watakuwa wanalipwa tsh. 125,000 kwa siku
UMMA umeamua ni Lowassa tu...!!!

Naapa hawataweza... hata kidogo..!!!

Hivi jamani...mnajua nguvu ya UMMA..!?

CCM don't play with our country..!!!

Wajibu hao wanapelekwa mikoani kwa ajili ya nn..?

CCM tunataka majibu haraka..?


No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...