napata wakati mgumu sana kueleza hii hali wakati mtu anaipenda ccm hakumbuki nini au hajui au uelewa umepotea
- wakati watu wanapigwa na polisi kila kona na kulia inamaana hawaoni au vipii??
- wakati polisi wanauwa watu inamaana hawaoni au vipii??
- wakati watu wa mtwara wanauwawaa ianamaana mlikuwa hamuoniii aua hamsikii??
- ni woga wako aua ni ujinga wakoo
- fikiri sana angalia hiyo video hapoo juu
No comments:
Post a Comment