Wednesday, 14 October 2015

ajali ya mzee lembeli na joyce mukya arusha

Joyce Mukya apata ajali mda huu akiwa na mhe. Lembeli walikuwa Wa natoke arusha kwenda Simanjoro
Wapo salama wote waliokuwa kwenye Gari hiyo
Mungu ni mwema
mungu kawapa pumzi tena ya mabadiliko kwa nchii hii 
lazima nguvu za giza zilegeee maana mungu yuko nasi

chadema blood


No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...