Mke wa mgombea urais kupitia Umoja wa Ukawa, Mama Regina Lowassa leo amefanya mkutano mkubwa mjini iringa..
Mama Regina alisema ''Naomba nichukue nafasi hii kumuombea kura mgombea urais Mh. Edward Ngoyai Lowassa ambae ni Mume wangu, namuombea kura zote za ndio bila kuwasahau Madiwani na Mbunge''
Mama Regina amewakumbusha wananchi kuwai mapema kwenye vituo vya kupigia kura, kuzingatia sheria za uchaguzi na namna ya kukunja karatasi baada ya kupiga kura na wasisahau kwenda na kalamu zao.
mama regina lowasa akiwa katika harakati za kuwapa maneno ya kampeni wananchi wa iringa
No comments:
Post a Comment