Wednesday, 7 October 2015

malalamiko ya morinho kwa shirirkisho la mpira la uingereza (FA )

kocha wa chelsea alikerwa na kitendo cha refa RObert madley kushindwa kutoa penati kwa klabu yake baada ya Radamel Falcao kudondoshwa na goli kipa Maarten Stekelenburg, kwenye ule mchezo badala yake mshambuliaji akaonekana muongo
"refa anaogopa kutoa maamuzi kwa upande wa Chelsea. mara zaidi ya moja hatujapewa penati kabisa kwenye mchezo unaoonekana wazi"
"ile penati ilikuwa halali kabisa kwenye ule mchezo kwasababu wachezaji wangu huwa hawana tabia ya kujidondosha kabisa kwa upande wa hasi"
"penati ilikuwa halali kabisa, na baada ya hapo timu ilipoteza ujasiri"
Radamel Falcao appeared to be brought down by Southampton keeper Maarten Stekelenburg.

Sadio Mane anaiweka  Southampton anaipandisha juu bada ya kushinda  3-1.
"kama FA wanataka kuniadhibu mimi wanaweza kuniadhibu tu. hawafanyi kuwaadhibu wengine morinho alisema hayo jumamosi
"nataka kusema tena; waamuzi wanaogopaga kutoa maamuzi nkwa chelsea
ile penati ilikuwa ya wazi ila aliogopa kutoa siju kwa nini?

hapa ni baada ya kufungwa goli na timu ya southampton

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...