Monday, 12 October 2015

tazama video ya vanesa mdee mpya ya wimbo wake wa never ever

Baada ya single yake mpya ‘Never Ever’ kutambulishwa kwenye Trace Nigeria,Vanessa, Diamond Platnumz na Ommy Dimpoz wakaendelea kuipepersuha vizuri bendera ya Tanzania kwenye tuzo za AFRIMMA Awards 2015 zilizofanyika weekend iliyopita jijini DallasTexas… ambapo Vee Money alibeba ushindi wa Tuzo moja ya Best Female East Africa!
Good news mtu wangu, kama wewe ni shabiki wa Vanessa Mdee na pia ni shabiki wa muziki mzuri basi hii news ikuguse popote pale ulipo… single mpya ya Vanessa Mdee ipo hewani tayari na imeshafanyiwa video, kama hukubahatika kabisa kukutana nayo siku iliyokuwa inazinduliwa kwenye Trace Nigeria basi karibu uitazame video hiyo hapa chini kwa mara ya kwanza!

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...