mshambuliaji wa Manchester United Anthony Martial, kijana mdogo aliyepewa thamani kubwa kuliko Zinedine Zidane, taratibu amekuwa akihimarika baada ya kuwa na deni kubwa aliposajiliwa kwa paund £58million kwenda Old Trafford
- Anthony Martial aliitwa kwenye timu ya taifa mara baada ya kusaini na Man United
- Ada ya shilingi £58m ilionekana ya kushangaza ila Martial amewatoa kimasomaso
- Martialyupo kwenye kikosi cha ufaransa dhidi ya England at Wembley
Antony martial akiwa amevalia jezi yake ya timu ya taifa ya ufaransa
akiwa kwenye tabasamu baada ya kufunga goli lake la kwanza kwenye mechi yake ya kwanza
- zinedine zidane akiwa na jezi yake akiwa anaingia real madrid
No comments:
Post a Comment