Thursday, 26 November 2015

MATOKEO YA KLABU BINGWA ULAYA 25/11

JUVENTUS 1-0 MANCHESTER CITY

Shakhtar 3-4 Real Madrid



MCHEZAJI MANDZUKIC AKISHANGILIA GOLI BAADA YA KUIGUNGIA KLABU YAKE

mchezaji wa juventus na manchester city wakiwania mpira katika mchezo wao wa ligi ya mabingwa ulaya
  • Manchester City : Hart, Sagna, Demichelis, Otamendi, Clichy, Fernando, Toure, Fernandinho, Navas, De Bruyne, Aguero.
  • City subs: Caballero, Maffeo, Adarabioyo, Kolarov, Delph, Celina, Sterling. 
  • Juve : Buffon, Barzagli, Bonucci, Chiellini, Lichtsteiner, Sturaro, Marchisio, Pogba, Alex Sandro, Mandzukic, Dybala.
  • Juve subs: Neto, Rugani, Evra, Lemina, Cuadrado, Zaza, Morata.  

zlatani akishangilia baada ya kuifungia klabu yake ya PSG

ronaldo akifunga goli zuri baada ya kupewa pasi nzuri kutoka kwa mchezaji mwenzake gereth bale

ronaldo akishangilia goli lake baada ya kuifungia timu yake ya real madrid

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...