Friday, 27 November 2015

Chris Brown anaisogeza ‘Fine By Me’ kutoka kwenye Album yake mpya – (Audio).

Baada ya kutoa performance iliyowafuraihsa mashabiki wake wengi kwenye kipindi chaThe Tonight Show, Chris Brown amerudi kuzikamata headlines za weekend hii na single nyingine inayopatikana kwenye Album yake mpya ROYALTY.
Wimbo unaitwa Fine By Me na ndani yake umebeba miondoko fulani ya miaka ya 80 yenye mchanganyiko wa Pop kwa mbali… ndani Chis Brown anasikika akiimba, “She only loves me when the lights are out, lights are out / She only loves me when the sun is down, sun is down / She only loves me when no one’s around, no one’s around / She only loves me cause I put it down / And it’s fine by me”.
BRZY2
Kama wewe ni shabiki mkubwa wa C Breezy ipokee hii mpya kutoka kwake, ukubwa wake ni dakika 3 tu na unaweza kuunasa mdundo wake kwa kuponyeza play hapa chini.

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...