Tuesday, 17 November 2015

ronaldo kuonyesha dalili za kuihama real madrid

Cristiano Ronaldo aonekana kama ataingia kwenye mkataba wake  wa mara  ya mwisho na klabu yake ya sasa  Real Madrid yeye mwenyewe anaonekana kupenda kujiunga na klabu ya  PSG

  • Cristiano Ronaldo anaonekana kama ataondoka  Real Madrid mwisho wa msimu huu.
  • mreno huyu amehusishwa na PSG , manchestter united na Chelsea 
  • Ronaldo alitia wasiwasi baada ya kunong'onezana na Laurent Blanc's kwenye mechi ya klabu bingwa 

  • kwa miaka yake 30 anaweza kuwasaidia wafaransa hawa kushinda taji la ulaya
  • Cristiano Ronaldo au Gareth Bale for Manchester United? 
  • Cristiano Ronaldo reportedly told PSG manager Laurent Blanc that he would like to work with him
  • ronaldo akimnong'oneza kocha wa PSG baada ya mechi yao na kwenye klabu bingwa ulaya
  • Ronaldo whispers in the ear of the PSG manager at the end of Real Madrid's 1-0 win in the Champions League on Tuesday
  • Real Madrid president Perez greets Ronaldo ahead of kick-off at the Bernabeu on Tuesday night
  • raisi wa real madrid perez akimsalimia ronaldo kabla ya mechi yao jumanne
  • Despite being 30, Ronaldo remains in peak physical condition and could still have a number of years at the top
  • pamoja na kuwa na miaka 30 lakini bado anaonekana kuhimili mikikimikiki ya mchezo wa mpira kwa mwili wake


No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...