Tetesi za uhamisho kutoka Man Utd : Zlatan Ibrahimovic afungua milango kwa kocha Jose Morinho kumsajili Uingereza
mchezaji wa klabu ya PSG ameonyesha nia ya kucheza katika ligi ya uingereza chini ya mreno kocha jose morinho ambayeanatarajia kujiunga na klabu ya manchester united mwishoni mwa msimu huu
mchezaji huyu ameonyesha kuwa na mapenzi na kocha huyu kwa kuhitaji kufanya nae kazi
mchezo wa klabu bingwa kati ya chelsea na PSG na ibramovic kupewa kadi nyekundu
No comments:
Post a Comment