Friday, 1 April 2016

maswali kumi kwenye ligi ya uingereza wikienda hii

Premier League
Leicester je? leicester city wataendeleza ushindi ama laa maana wanakutana na timu ambayo ilikuwa haina washambuliaji wake matata na kupoteza ila wamerudisha matumaini kwa kuifunga liverpool goli 3-2
si wengine ni southampton
Arsenal 
arsenal wanaweza kufanya wawe zaidi kwenye top four au ? kutokana na ushindi walioupata dhidi ya everton kwa goli 2 -0 wataweza kufanya huvyo tena
Spurs
je tottenham anaweza kuvunja record yake ya kutokumfunga liverpool?
tottenham hajawahi kushinda katika michezo sita waliocheza na liverpool
United 
je? manchester united wanaweza kurudisha uhai wa wao kuwa katika top four?
wanakutana na timu yenye washambuliaji hatari na ambao wametoka kupoteza mchezo wao dhidi ya arsenal manchester united wako nyuma ya man city 
PA
ni timu ipi itadhurika kutokana na mapumziko ya kimataifa na kuchecha timu za taifa?
Dmitri Payet
ni mbinu gani atakuja nazo mchezaji dimitri payet wa west ham?
ukiangalia mechi zake na timu ya taifa ndipo utagundua huyu ni mchezaji hatari , angalia faulu aliyopiga dhidi ya urussi
KDB
man city wanaweza kuwa katika hali nzuri baada ya kurudi kwa wachezaji wake kelvin de bryune, fabian delphi na nasri ? ikimbukwe kwamba man city wako nafasi ya nne ila juu kwa pointi moj dhidi ya west ham na manchester united
 Newcastle 
nani kati ya newcastle au norwich  anaweza kuwa katika nafasi ya kushuka daraja?
norwich anashika nafasi ya 17 ila ni point 3 juu ya newcastle aliye nafasi ya 19 akiwa na mechi moja mkononi na atakutana na norwich
Aston Villa
Remi Garde ameicha klabu ya aston villa kwa maamuzi yake mwenyewe wikii iliyopita ? je aston villa wanaweza kujinasua kwenye mstari mwekundu wa kushuka daraja?
Crystal Palace
je crystal palace wanaweza kurudi katika hali yao ya kawaida baada ya kufungwa mechi 13 mfululizo na wako juu point 7 dhidi ya mstari wa hatari wa kushuka daraja.

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...