Wednesday, 24 August 2016

Rudisha atetea medali yake ya Olimpiki

David Lekuta Rudisha (kulia), wa KenyaDavid Lekuta Rudisha (kulia), wa Kenya


Bingwa wa mbio za mita 800 duniani David Rudisha ametetea medali yake ya dhahabu katika mbio hizo kwenye mashindano ya Olimpiki kwa kushinda fainali Jumatatu usiku Rio de Janeiro.
Kwa ushindi huo Rudisha ametetea medali yake ya dhahabu aliyoshinda katika michezo ya Olimpiki ya London 2012. Kwa ushindi huo pia Rudisha ameipatia Kenya medali ya pili a dhahabu katika michezo ya Olimpiki ya Rio.

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...