david luiz arejea tena stamford bridge kwa ada ya pound mil 34 kwa mkataba wa miaka 3
• David Luiz alihamia PSGmiaka miwili iliyopita kwa ada ya £50
Antonio Conte, alikuwa na uhitaji wa wachezaji kutoka Napoli Kalidou Koulibaly na Alessio Romagnoli wa Milan ambapo alikataliwa na timu zao, alipoona taa ya kijana kwa David Luiz kwa ada ya £34m na ilipotokea hii akaona ashike tuu ambapo mbrazili huyu alionekana kutokuwa na furaha akiwa PSG kwa sasa
david luiz akiwa katika klabu ya PSG
david luiz akiwa chelsea kabla ya kwenda PSG mchezaji wa kulia
No comments:
Post a Comment