timu ya everton yaonyesha umwamba mbele ya manchester united kama ilivyokawaida yao kwenye ligi zote na historia yao kuendelea kama ilivyokuwa baada ya kutoka sare na manchester united
Baines and zlatan
goli la kuongoza kwa manchester lilifungwa na zlatan ibrahimovic
kwa takwimu nyingi zinaonyesha kwamba fellaini akitokea benchi huwa anaigharimu timu yake.
leo ni ndoto kwa felaini maana amemkaba mchezaji mwenzake wa klabu yake.
penalt ilikuwa rahisi sana kuidaka lakini kwasababu ya umakini inakuwa tabu sana.
felaini alimshika mchezaji na kufanya iwe penati.
Deulofeu alitengeneza nafasi nyingi lakini hazikuzaa matunda
pogba azuia mpira uliopigwa na mchezaji wa everton
No comments:
Post a Comment