bournemouth waonyesha ukomavu kwa kutoka nyuma ya liverpool na kuchukua point zote tatu.
mpaka mapumziko liverpool alikuwa ameshajihakikishia ubingwa lakini klopp alishindwa kuzuia magoli yale na kufanya maajabu ya kisoka.
saido mane akifunga goli la ufunguzi.
90' +3
87'
79'
76'
75'
69'
64'
56'
55'
53'
50'
48'
46'
22'
20'
livepool walicheza bila kiungo mshambuliaji philip courtinho mbele hivyo kuwakosesha mipira ya mwisho wakina mane.
callum wilson akifunga goli la kwanza la bournmouth
emre can akifunga goli la tatu.
ni miujiza kwa bournmouth kwakua walishapoteza mechi nane zote na hivyo hii ni mechi yake ya kwanza
jack wilshere ni kijana aliyekuwa kiungo wa arsenal sasa aisaidia klabu yake ya bournmouth kupata ushindi bila matatizo.
frase anashangilia goli lake.
No comments:
Post a Comment