Atletico Madrid wamefuzu kuingia hatua ya robo fainali kwa mara ya nne mfululizo sas.
ni kweli kwamba kazi kubwa walikuwa wameshaifanya kule ujerumani baada ya kuondoka na ushindi wa goli 4 -2 ambao umewapa nguvu ya kutafuta lolote kuhakikisha hawapotezi mchezo huo.
Jan Oblak akiwa na mshambuliaji wa Leverkusen Chicharito baada ya kuokoa shuti la goli.
Mchezaji wa Bayer Leverkusen Kevin Volland alijua ni goli kwa jinsi kipa wa Atletico alivyokuwa amejiweka lakini kipa huyo akautoa ule mpira.
No comments:
Post a Comment