Bakayoko kiungo mkabaji wa klabu ya Monaco akishangilia goli la ushindi baada ya kuunganisha kwa kichwa mpira wa adhabu uliopigwa na Lemar.
timu ya manchester city ilionyesha kuzidiwa kimchezo katika kipindi cha kwanza na kuruhusu magoli ambayo yaliwapa matumaini timu ya monaco, vijana hawa wa ufaransa walionekana kujuana na kujiamini sana muda wote wa kipindi cha kwanza.
Guardiola akiwa na sura inayoonyesha kupoteza matumaini katika dakika za mwisho za nyongeza wakati monaco wakiwa wanatibua mipira kutoka golini kwao.
Leroy sane dakika ya 71, akiifungia timu yake goli la pekee baada ya goli kipa kuutoa mpira na kumshinda baadae kumkuta sane akiwa mwenyewe akafanya kupasia nyavu tu.
mchezaji wa monacco Mbappe akiwa anashangilia goli la kuongoza kwa klabu yake alilofunga dakika ya
Benjamin Mendy muda wote alikuwa amemfunika Kevin De Bruyn ambaye alishindwa kusambaza mipira kwa umakini kwakuwa kijana huyu wa monaco alikuwa anatibua mipira yote kwa de bruyn.
Fabinho akishangilia goli la pili kwa timu yake ya monako pamoja na nahodha wa timu hiyo Germain
Aguero alionekana kutokuwa vizuri katika mchezo ule amabo alikosa magoli mawili ya wazi ambayo yameigharimu timu yake.
No comments:
Post a Comment