Tuesday, 14 March 2017

kadi nyekundu yaigharimu Manchester United


Spain interantional Ander Herrera was sent off by referee Michael Oliver after picking up two bookings during the first half
Kiungo wa Manchester United Ander Herrera Akiondolewa Uwanjani mara baada ya kupewa kadi mbili za njano kwa kosa la kumfanyia madhambi Eden Hazard, kadi hiyo imepeleka kupunguza nguvu kwa upande wa Manchester United na kusababisha timu hiyo kufungwa

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...