klabu ya JUventus ya Italia imeamua kubadili ulinzi wake kwa ajili ya kuimarisha ngome yao na kuendeleza ushindi ambao utawasaidia kusonga mbele kwenye michuano ya ligi ya mabingwa ULAYA
Dani Alves na Medhi Benatia ndio watakao anza baada ya kuonyesha kiwango kizuri na chenye manufaa kwa timu.
Mario Mandzukic Amerudi baada ya kuukosa mchezo wao na AC-milan jumapili
Juventus (probable): Buffon; Dani Alves, Bonucci, Benatia, Alex Sandro; Marchisio, Khedira; Cuadrado, Dybala, Mandzukic; Higuain
Porto (probable): Casillas; Maxi Pereira, Marcano, Felipe, Layun; Danilo, Andre Andre, Oliver Torres; Brahimi, Andre Silva, Soares
No comments:
Post a Comment