KOCHA WA ZAMANI WA ARGENTINA DIEGO MARADONA NA MPENZI WAKE ROCIO OLIVA
kocha huyu akutwa na masaibu baada ya kuonekana kuleta ugomvi akiwa katika hoteli huko nchini uispania wakati alipokwenda kutazama timu yake ya zamani Napoli ikicheza na Real Madrid
viongozi wa hotrli walipiga simu polisi na kuja kupekuliwa wakati huo wote wawili wakionyesha kwamba hawana ugomvi wowote ndipo polisi walipowaachia
maradona aliandika " niko madrid kwa ajili ya kuangalia mpira na sio kitu kingine nasubiri ligi ya mabingwa ulaya, mwanasheria wangu aliwasiliana na uongozi wa madridi wakasema hakuna shida"
Muargentina huyu mwenye miaka 56 anakaa hoteli hiyo ambayo klabu yake ya zamani wanakaaa.
No comments:
Post a Comment