liverpool yaifunga burnley goli 2 kwa 1 liverpool walirudisha goli kutoka kwa burnely ambao waliwatangulia kwa goli moja liligungwa dakika ya 10
ide at Anfield kiungo mjerumani emre can akipiga shuti la mbali ambalo liliwapa ushindi liverpool
can akishangilia pamoja na wachezaji wenzake baaada ya kufunga goli la ushindi kwa klabu yake kulia ni Nathaniel Clyne
kocha Klopp aliamua kumtoa kiungo coutinho mwanzoni mwa kipindi cha kwanza na kumuingiza kijana mwenye umri wa miaka 17 Woodburn
mchezaji Georginio Wijnaldum akishangilia huku akiwa na mpira kuupeleka katika nafasi ya kuanza tena baada ya kusawazisha
mpira ulikuwa umepigwa sehemu nyingine kitu kilichomfanya goli kipa kupoteza muelekeo
Ashley Barnes ndie mchezaji aliyewapa goli la kuongoza baada ya kuunganisha shuti kutoka kwa mchezaji Matt Lowton's
No comments:
Post a Comment