shuti la mchezaji son ambalo alifunga goli lililowapa hamasa wachezaji wa totenham
eriksen 32', son 41',54',90+2', dele 72' janssen 80'
pamoja na kuonyesha upinzani lakini wachezaji wa klabu ya millwalls walikata tamaa baada ya kufungwa magoli mengi
son akifunga goli lake la pili lakini likiwa ni goli la tatu kwa klabu yake
son akifunga goli lake la tatu na kuibuka na hatrick
harry kane alilazimika kutoka nje kutokana na kuumia na inasadikika ameumia kifundo cha mguu
mchezaji mwuingereza naye akipachika goli baada ya kupata pasi kutoka kwa ericksen na kuyaondoa matumaini ya wapinzania wao
Janssen akipongezwa na son baada ya kushinda goli lake la kwanza toka kuamia klabuni hapo
No comments:
Post a Comment