Tuesday, 7 March 2017

Ngolo Kante Anastaili Kuwa mchezaji Bora wa Mwaka..

Mchezaji Ngolo Kante wa chelsea ameifanyia timu yake mambo makubwa kwa kutibua na kupoteza uelekeo wa timu pinzani pindi akiwa uwanjani.
mchezaji huyu kutoka klabu ya Leicester city ameonekana kiungo muhimu wa timu yake hii mpya
N'Golo Kante produced another brilliant performance as Chelsea beat West Ham 2-1 
mchezji huyu alionekana kuwa na mchango muhimu sana katika mchezo wao dhidi ya Westham
The French midfielder has shown consistent excellent throughout the season
Ngolo Kante amekuwa na msimu mzima na hapa ni kwenye ushindi wao wa 2- 0 dhidi ya Westham

Ngolo Kante Kiwa Kwenye Uwanja Kwenye Mchezo Na JInsi Anavyowasumbua Wapinzani Wake

A map of Kante's 57 touches in the game against West Ham on Monday night
Hizi Ni nafasi na mipira ambayo Ngolo Kante Alikimbia na kucheza katika mchezo wao na Westham


No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...