Sunday, 12 March 2017

Deportivo 2- 1 Barcelona

Javier Mascherano (left), Jordi Alba (second right) and Sergio Busquets watch on as Alex Bergantinos celebrates his winner
Bergantinos javier Mascherano( kushoto), jordi Alba(wa pili kulia) na sergio busquets wakimshangaa Alex Bergantinos akishangilia
Bergantinos (right) kisses his badge after restoring his side's advantage midway through the second half
Bergantinos akibusu fulana  yake baada ya kufunga goli kwa timu yake
Lionel Messi (left) walks off dejected as Deportivo's players embrace after taking the lead in the La Liga clash
 Messi akiwa kwenye sura ya majozi baada ya kufungwa na klabu Deportivo
Deportivo manager Pepe Mel (centre) celebrates on the pitch with his players after the final whistle
kocha wa Deportivo PEPE MEL akishangilia pamoja na wachezaji wake

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...