Mwanamuziki mashuhuri nchini Tanzania Diamond Platinumz amepiga hatua nyingine baada ya kujitosa katika biashara ya uuzaji wa manukato.
Manukato ya mwanamuziki huyo yamepewa jina Chibu Perfume, kwa kufuata jina lake ya utani la Chibu Dangote bei 105,000.
No comments:
Post a Comment