Thursday, 13 April 2017

Lulu Afunguka Haya Kuhusu Mahusiano Yake na Majay..Atangaza Tarehe ya Ndoa..!!


Elizabeth Michael (Lulu) amedai ndoa yake na mpenzi wake Dj Majay inakaribia.Muigizaji huyo ambaye ameonekana kutulia sana tangu alipokuwa na mahusiano na bosi huyo wa EFM na TVE amesema hivi karibuni wale waliokuwa wakitaka waachane watabaki midomo wazi.

“Siku zinakaribia na karibu tarehe ya ndoa yangu itatangazwa kwa uwezo wa Mungu. Hapo ndipo waliotamani tuachane wataziba midomo, maana natarajiwa kuwa mke halali hivi karibuni,” ameliambia gazeti la Mtanzania.

Lulu ameongeza kuwa anatamani kuwa mke bora kwenye ndoa yake kama alivyokuwa sasa kwenye mahusiano yake
SOURCE: udaku

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...