Siku chache tu kabla ya mwezi mtukufu wa Ramadhani baadhi ya Wanawake wa kiislam nchini Tanzania wameungana na kuaandaa tamasha maalum kuhamasisha ujasiriamali na uvaaji stara kwa njia za kisasa zaidi.- Tamasha hilo kwa jina Stara Fashion Week liliandaliwa City Garden, Dar es Salaam.
- Tamasha hili lilitokana na nia ya kupinga dhana potofu kuwa watu ambao hujifunika mavazi ya stara katika harakati ya maisha ni watu ambao wako nyuma kimaisha.
- Wanaovalia wanasema mavazi hayo ya stara yanampa mwanamke heshima na kumfanya apendeze zaidi.
- Lengo jingine la tamasha pia ni kwa wanawake nchini Tanzania kujiwezesha wenyewe kwa wenyewe.
- Kwa sasa, hata wanawake ambao si Waislamu hununua mavazi ya stara kutoka kwa wabunifu wa mavazi wa ndani ya Tanzania na hawaagizi kutoka nje kama zamani ilivyokuwa, hususan kutoka nchi za Kiarabu.
- Tamasha hufanyika kila mwaka. Hii ni mara ya tatu kwa maonesho hayo kufanyika.
Monday, 22 May 2017
Kuvumisha mavazi ya stara Dar es Salaam kwa kipindi cha mfungo wa ramadhani
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Featured Post
Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...
-
MAISHA ni vita bwana. Ili uweze kushinda, lazima upambane kweli. Wapo wanaoamini kuwa ‘kutusua’ kimaisha lazima uwe umesoma lakini huen...
-
KWA NINI WATOTO HUPOTEZA HAMU YA KULA? Kukosa hamu ya kula ni tatizo la kawaida kwa watoto ambalo hupelekea wazazi wengi kuwa na wasiwasi...
-
Mao alikuwa kiongozi Kichina Kikomunisti na mwanzilishi wa Jamhuri ya Watu wa China. Yeye alikuwa kuwajibika kwa sera za maafa ya ...






No comments:
Post a Comment