mchezaji wa klabu ya real madrid kumendewa na klabu ya Ac Milan pia
morata ameshakubaliana na klabu ya Manchester United na anasubiria makubaliano ya klabu hizo mbili kwa yeye kujiunga na klabu hiyo.
morata ameiambia klabu yake ya sasa kwamba yuko tayari kujiunga na klabu ya manchester kwasababu anataka kucheza na manchester wamemuakikishia kupata namba kwa kuwa watamuacha mchezaji wao Zalatan Ibramovic
Morata
ameshawaambia rafiki zake kwamba anatarajia kujiunga na klabu hiyo ya uingereza
msimu ujao ambapo atajiunga na meneja Jose Mourinho tena.
meneja na wakala wa mchezaji
huyu anafikiri paundi mil 60 zinatosha kumsajili pale manchester
No comments:
Post a Comment