Kiungo wa Arsenal, Jack Wilshere ameamua kufunga ndoa na mpenzi wake wa siku nyingi.
Wilshere ambaye amekuwa hana namba ya uhakika hadi kulazimika kupelekwa kwa mkopo, amefunga ndoa na Andriani Michael nchini Italia.
Uamuzi wake wa kuachana na ukapera, inaonekana amepokea ushauri aliowahi kupewa na Thierry Henry kwamba akifunga ndoa ataanza kuishi kiutu uzima zaidi.
No comments:
Post a Comment