Tuesday, 20 June 2017

Chelsea wanamuhitaji Leonardo Bonucci au Virgil van Dijk na wanatarajia kumtoa Kurt Zouma.

klabu imewaorodhesha wachezaji ambao inawahitaji ambao ni Leonardo Bonucci na Virgil van Dijk kama usajili wao wa msimu kwa upande wa walinzi ambapo itahitaji kumtoa Zouma. 
Chelsea inahitaji mfaransa huyi acheze hata kama alikuwa nje kwa muda mrefu msimu uliopita wa mwaka 2016 kwa matatizo ya maumivu ya goti.
timu za Lyon na Nice zimeonuesha nia yao ya kuwasajlili wachezaji hawa lakini Conte hatokubali mpaka kuhakikisha amemleta mchezaji mmoja kati ya hao aliowataja.
Chelsea are eyeing Leonardo Bonucci and Virgil van Dijk
mchezaji beki wa kibibi cha turini juventus bonucci 

No comments:

Featured Post

Ronaldo kaonyesha yeye ni mwamba dhidi ya Salah

Mchezaji  wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili  (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...