Jack Wilshere U-turn
mchezaji wa Arsenal Arudi kwenye kikosi na kupewa majaribio ya kwenda kucheza kwa wlio chini ya miaka 23 sasa kocha wake Arsenal wenger amemwambia kwamba anahitajika kujituma ili apate namba.
Alexis Sanchez Auliziwa Bei.
timu nyingi za ligi kuu mbalimbali duniani zimeanza kutoa dau kwa mchezaji sanchez isipokuwa kocha wake amesema hatamuuza mchezaji huyu chini ya paund Milion 70.
Sanchez anatakiwa na kocha Guardiola wa Man city kwakua kocha huyu anapenda sana wachezaji ambao walishacheza barcelona tayari.
Dembele kwenda Barca
Ousmane Dembele atajiunga na Barcelona kwa ada ya uhamisho ya £138m, kutokana na mwandishi Fernando Palomo.
Barcelona wameshapambana sana kwa kuishawishi klabu ya Dortmund kwa ajili ya kumchukua Dembele, japokuwa klabu ya dembele ilikuwa imempa hadhabu toka August 10.
No comments:
Post a Comment