Hispania imejihakikishia kushiriki kombe la dunia kwa ushindi mnono dhidi ya Albania 3-0, magoli yaliyofungwa katika nusu ya kwanza ya mchezo huo na Rodrigo (16'), Isco (23') na Thiago (26').
Rodrigo akifunga goli la kwanza Mabingwa hao wa kombe la dunia 2010 walishinda mechi hiyo dhidi ya Albania na kujiwekea historia ya kushinda mechi 8 kati ya mechi 9 walizocheza kwa kundi G |
Hispania ikishangilia goli la pili lililowekwa na Isco |
wachezaji wakishangilia goli la tatu lililotikisa nyavu na thiago |
Pique mara baada ya kuonyeshwa kadi ya njano |
Mashabiki wakishangilia |
No comments:
Post a Comment