Goli moja tu la Harry Kane limetosha kuwapa nafasi England(three lions) kushiriki mashindano makubwa ya kombe la dunia yatakayofanyika hapo mwakani Russia
| Harry akishangilia goli pekee alilofungia timu yake | 
Mchezaji wa klabu ya Real Madrid na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno amefunga magoli mawili (2) katika mechi kati ya Ureno na Misri...
 
No comments:
Post a Comment