Tottenham: Lloris
6.5, Alderweireld 6.5, Sanchez 6.5, Vertonghen 6.5, Trippier 7, Alli 7,
Winks 7, Aurier 6.5, Eriksen (Dier 81) 7.5, Son (Sissoko 69) 7, Kane
(Llorente 89) 8
Goals: Kane 4, 56, Son 12, Alli 45
Subs not used: Vorm, Rose, Nkoudou, Davies
Liverpool: Mignolet
4.5, Gomez 6, Matip 4.5, Lovren (Oxlade-Chamberlain 31) 4, Moreno 6,
Milner 5, Henderson 5.5, Can (Grujic 84) 5, Coutinho 5, Firmino
(Sturridge 77) 5, Salah 6
Goals: Salah 24
Booked: Can
Subs not used: Karius, Klavan, Solanke, Alexander-Arnold
Referee: Andre Marriner
Attendance: 80,827
Son Heung-alifunga goli na kufanya matokeo 2-0 baada ya
Dejan Lovren kufanya jaribio la kuunasa mpira na kushidwa wakati huo akiwa
mstari wa nusu
Mohamed Salah alipiga pasi hadi kwa Jordan, Jordan Henderson alikimbia
kabla ya mpira na kuufanya mpira utoke njee na kurusha bil kuangali asalah yuko
wapi na mpira kunaswa na dele ali
Dele Alli alirejesha moto wa malengo ya Spurs kwa mara mbili
kwa kupigwa pasi toka nusu uwanja kwa kukimbia na kumzidi Joel Matip ujanja
hadi goli
nahodha wa liverpool akiwabwatukia Matip na Lovren kwa kufanya makosa ya kizembe
harry kane Akiangalia goli lake likiingia kwa wapinzani
Zaidi ya shambolic Liverpool kutetea imesababisha Kane bao
kutoka kwa rejea kama Spurs alienda 4-1 hadi dakika 55
Hugo Lloris aliokoagoli magoli lakini mashuti makali
yalikuwa kutoka kwa Philippe Coutinho wa
Liverpool
No comments:
Post a Comment