Wanachama
 na mashabiki wa Yanga hasa wale maarufu kama Makomandoo wamejikuta 
katika wakati mgumu baada ya kuvamiwa na mashabiki wa Stand United na 
kushambuliwa.
Baadaye, polisi walilazimika kuingia uwanjani hapo kutuliza hali ya hewa ambayo ilikuwa imechafuka.
Yanga iko mjini Shinyanga na kesho itawavaa Stand United katika mechi ya Ligi Kuu Bara kwenye Uwanja wa Kambarage...soma zaidi
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment